Awali, nilikuwa na nia ya kuleta watalii 140 tu katika Makumbusho ya Taifa. Hata hivyo, baada ya kupata ziara iliyoambatana na mwongozo wa kitaalamu, nimevutiwa zaidi na fursa za kushirikiana na Makumbusho ya Taifa katika shughuli mbalimbali za kiutamaduni. Ningependa kuona ushirikiano kati ya taasisi yangu na Makumbusho katika kuandaa maonesho ya filamu za kiutamaduni, kuendesha matukio katika Boma la Kimasai litalohusisha vyakula vya asili, mavazi na ngoma za asili hususani katika kituo cha Kijiji cha Makumbusho.
Today, I had the opportunity to visit the National Museum and House of Culture, where I learned a lot, especially about Tanzania’s history, culture, and values. I was also impressed by the many historical collections preserved here. I encourage teachers and students to visit the National Museum and its sites to gain practical knowledge and experience Tanzania’s history and heritage firsthand.
DSGSDGSDS
Wait a second... you're telling me this testimonials slider is powered solely by CSS? That's some next-level web wizardry! I'm sold! Give me that mind-blowing slider to my website!





