MERRY CHRISTMAS & HAPPY NEW YEAR

Imewekwa: 24th December, 2018

Menejimenti na wafanyakazi wote wa Shirika la Makumbusho ya Taifa tunawatakia ninyi nyote Heri ya Christmas na Mwaka Mpya.

"Tembelea Makumbusho zetu ujifunze na kufurahia Urithi wetu wa Utamaduni na Asili".URITHI WETU FAHARI YETU.