emblem

The United Republic of Tanzania

The National Museum of Tanzania (NMT)

BG IMAGE

Welcome to National Museum

Service Category

News

UZINDUZI WA BANGO LA TAARIFA NYUMBANITU - NJOMBE


Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe BaloziDkt. Pindi Chana akikata utepe wakati wa ufunguzi wa bango la taarifa katika eneo la uhifadhi la msitu na mapango Nyumbanitu (Nyumba nyeusi). Hii ni moja wapo ya harakati za Makumbusho ya Tanzaniakufungua njia kwa jamii kuendelea kuhifadhi urithi wa asili na utamaduni uliojificha na kuwapa elimu wananchi juu ya fursa zinazopatikanakatika utalii ndani na nje ya Nchi.Hafla hiyo ilihudhuriwa na wageni mbalimbali wa Serikali akiwemo Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utali,Mwenyekiti wa bodi ya Makumbusho ya Taifa la TanzaniaDkt. Oswald Masebo, Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa la Tanzania Dkt. Noel Lwoga (Mfadhili wa shughuli nzima) Makatibu tawala Mkoa na Wilaya ya Njombe, viongozi mbalimbali wa Serikali, watumishi wa umma, vyombo vya ulinzi na usalama, chifu wa Wabena, wazee wa mila wa Mkoa wa Njombe na wananchi.