Tanga
KICHALIKANI WALL
Ukuta wa ngome ya kujihami wa karne ya 19. Upo katita Gazeti la Serikali namba 5 la mwaka 1961
KIGIRI WALL
Ukuta wa Ngome ya Kujihami wa Karne ya 19. Upo katika Gazeti la Serikali namba 5 la mwaka 1961
KIZINGANI WALL
Ukuta wa Ngome ya Kujihami wa Karne ya 1919. Upo katika Gazeti la Serikali namba 5 la mwaka1961
KIWALE WALL
Ukuta wa Ngome ya Kujihami wa Karne ya 19. Upo katika Gazeti la Serikali namba 5 la mwaka 1961
MAZA WALL

MSIKITI NA MAKABURI YA MNARANI
Magofu ya Msikiti na Makaburi ya karne ya 19. Ipo katika Gazeti la Serikali namba 5 ya mwaka 1960
MOA WALL
Ukuta wa Ngome ya Kujihami wa Karne ya 19. Upo katika Gazeti la Serikali namba 498 la mwaka 1961
MONGA
Ukuta wa Ngome ya Kujihami wa Karne ya 19. Upo katika Gazeti la Serikali namba 5 la mwaka 1961
MAKABURI NA MSIKITI WA MUHEMBO
MAMBANI WALL