emblem

The United Republic of Tanzania

The National Museum of Tanzania (NMT)

News

UZINDUZI WA BANGO LA TAARIFA NYUMBANITU - NJOMBE

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Balozi Dkt. Pindi Chana akikata utepe wakati wa ufunguzi wa bango la taarifa katika eneo la uhifadhi la msitu na mapango Nyumbanitu (Nyumba nyeusi).

UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI YA MAKUMBUSHO YA TAIFA LA TANZANIA (NMT)

Kufuatia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan kumteua Dkt. Oswald Jotam Masebo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Makumbusho ya Taifa la Tanzania (NMT), Waziri wa Ma...

MAKAMU WA RAIS WA UGANDA MHE. JESSICA ALUPO ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA TAIFA

Makamu wa Rais wa Uganda, Mhe Jessica Alupo ametembelea Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujionea urithi adhimu na adimu wa Historia ya Tanzania uliohifadhiwa Makumbusho na Nyumba...

NGUVU YA MAKUMBUSHO KURITHISHA

Watanzania wametakiwa kushirikiana na Makumbusho ya Taifa la Tanzania katika uhifadhi wa urithi wa nchi kwa faida ya kizazi cha sasa na vijavyo.

​ONGEZENI UBUNIFU WA MIRADI: WAZIRI CHANA

Waziri wa Maliasili na Utalii. Mhe. Balozi. Dkt. Pindi Chana ameitaka Makumbusho ya Taifa kuongeza ubunifu wa miradi itakoyoweza kuongeza idadi ya watalii na kuongeza kipato kwa Taifa.

BALOZI O'NEILL AHIMIZA UPANDAJI MITI

Wanaichi wameshauriwa kupanda miti kwenye maeneo yao ili kurejeresha nchi katika hali ya kuwa na misitu ya kutosha itakayo wezesha kuwa na Mazingira salama kwa viumbe wote.

MAKUMBUSHO YA TAIFA KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA UJERUMANI KUHIFADHI MALIKALE

Makumbusho ya Taifa la Tanzania imesaini mikataba ya mashirikiano na taasisi mbili za Ujerumani kwa lengo la kuboresha uhifadhi wa Makumbusho na uhifadhi wa mali kale nchini.

TUSHIRIKI KWA VITENDO MAADHIMISHO YA MIAKA 100 YA MWALIMU NYERERE

Watanzania wametakiwa kushiriki kwa vitendo maadhimisho ya Mwalimu Nyerere yanayojulikana kwa jina la ‘Mwl.Nyerere@100’ ambayo kilele chake kitakuwa tarehe 13 April 2022 mjini Butiama, Mkoa wa Mara.