emblem

The United Republic of Tanzania

The National Museum of Tanzania (NMT)

BG IMAGE

Welcome to National Museum

Service Category

News

Makumbusho na UNESCO wakutana kujadili kuhusu malikale zilizo nje ya nchi


Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa la Tanzania Dkt. Noel Lwoga leo amekutana na Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya UNESCO Tanzania Prof. Hamis Masanja Malebo kwa ajili ya kujadili masuala ya urejeshwaji wa mikusanyo iliyochukuliwa na kupelekwa nchi za nje wakati wa ukoloni wa Waingereza na Wajerumani.

Tayari Wizara ya Maliasili na Utalii imeunda Kamati Maalum ya Mpango wa Urejeshwaji wa Malikale zilizo nje ya nchi.

Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa la Tanzania, Dkt. Noel Lwoga akimsikiliza Prof Malebo na kulia ni Dkt. Amandus Kwekason, Mhifadhi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa naKamishna wa Haki za Binadamu ambaye pia ni Mwanasheria wa Kamisheni ya UNESCO Tanzania, Bi Caroline Mchome