emblem

The United Republic of Tanzania

The National Museum of Tanzania (NMT)

BG IMAGE

Welcome to National Museum

Service Category

News

SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI


Watumishi wa Makumbusho ya Taifa wa Dar es Salaam na wa mikoani wameungana na wafanyakazi wengine duniani kusherehekea siku ya Mei Day.
Watumishi hao wakiwa wamebeba mabango yenye kaulimbiu ya kitaifa ya Maslai bora Mishahara juu na ile ya kimakumbusho ya Twenzetu Makumbusho, Makumbusho Urithi wetu walishiriki kikamilifu katika maandamano.
Watumishi hao wa Serikali walivalia T-shirt nyeupe zenye ujumbe nyuma "Twende zetu Makumbusho" na kofia kwa kweli walionekana nadhifu kutokea mbali.
Hongereni watumishi wa Makumbusho ya TaifaWafanyakazi wa kituo cha Arusha Makumbusho ya Elimu Viumbe