News

Timu ya Simba kuitangaza Makumbusho ya Taifa
Viongozi wa timu ya Simba ya Dar es Salaam wametembelea makumbusho ya Taifa na kuahidi kuitanganza kupitia kazi zao ili watu wengi zaidi waweze kutembelea na kujifunza.

The Netherlands Ambassador to Tanzania Meet National Museum Director General
Director General of National Museum of Tanzania Dr Noel Lwoga met the Netherlands Ambassador to Tanzania. Hon Jeroen Verheul at the National Museum in Dar es Salaam.

Dkt Lwoga: Wanafunzi Vyuo Vikuu itumieni Makumbusho ya Taifa
Wanafunzi wa Vyuo Vikuu nchini wametakiwa kujiunga na umoja kati ya Makumbusho ya Taifa na Vyuo Vikuu ili wapate fursa ya kujifunza kwa matendo namna ya uhifadhi, na kuendeleza Urithi wa kiutamaduni n...

Makumbusho watembelea majengo ya kihistoria Dar es Salaam
Viongozi na baadhi ya watumishi wa Makumbusho ya Taifa la Tanzania wametembelea maeneo na majengo ya kihistoria yaliyoko kwenye eneo la hifadhi la jiji la Dar es Salaam kwa lengo la kutalii, kujifunza...

Prof. Saida Yahya Othman achangia Makumbusho ya Taifa Vitabu kuhusu Mwalimu Nyerere
Prof Saida Yahya Othman kwa niaba ya Prof Issa G. Shivji na Prof Ng'wanza Kamata ameikabidhi Makumbusho ya Taifa Vitabu vya Wasifu wa Hayati Baba wa Taifa Mwl Julias Nyerere (Biography ya Mwl Nyerere)...

Makumbusho kuboresho ukusanyaji mapato
Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Dkt. Noel Lwoga ameweka wazi vipaumbele vya taasisi hiyo kwa mwaka 2020/2021 kuwa ni kuboresha mapato ya taasisi kwa kubuni vyanzo mbalimbali vya mapato yatakay...

Tanzania ipo tayari kupokea Watalii kutoka China
Waziri wa Maliasili na Utalii nchini Dkt Hamisi Kigwangala amefanya Mazungumzo na Mhe Balozi wa China nchini Mhe Wang Ke katika Viwanja vya Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es salaam.

Babu Seya na Mkewe watembelea Makumbusho ya Majimaji Songea
Msanii maarifu Nguza Mbangu Viking maarufu kama "Babu Seya" na Mkewe Desderie P. Haule wamefanya Utalii wa ndani mjini Songea kwa kuitembelea Makumbusho ya Majimaji.