emblem

The United Republic of Tanzania

The National Museum of Tanzania (NMT)

BG IMAGE

Welcome to National Museum

Maji maji Memorial War Museum

Maji maji Memorial War Museum

Makumbusho inayohifadhi na kuonesha Historia ya Vita vya Maji Maji vilivyotokea mwaka 1905 -1907, Makumbusho hii ipo Mkoani Ruvuma, kilomita moja kutoka katikati ya mji wa Songea

Wageni mbali mbali wakiingia na kutoka kwenye Makumbusho ya historia ya Vita vya Maji Maji

Mtaalam wa Makumbusho ya Maji Maji Mjini Songea, akimpatia maelezo mtalii wa ndani namna mji wa Songea ulivyokuwa miaka ya 1905

Kiti kilichotumiwa na Chifu wa Wayao Ambuje Mataka ni moja ya vitu vya thamani katika historia ya Vita vya Maji Maji inayo patikana kwenye Makumbusho ya Maji Maji Mjini Songea Mkoa wa Ruvuma.


Wakazi wa Mjini Songea wakijifunza historia ya Vita vya Maji Maji kwenye ukumbi wa historia hiyo uliopo kwenye Makumbusho ya Maji Maji Songea

Vazi la asili la kabila wangoni lililotokana na Magome ya miti ni sehemu ya onesho katika ukumbi wa historia ndani ya Makumbusho ya Vita vya Maji Maji, mjini Songea.

Watalii wakilitazama kaburi walikozikwa Mashujaa 66 wa Vita vya Maji Maji. Kaburi hili lipo Makumbusho ya Maji Maji mjini Songea Mkoani Ruvuma.

Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa Dkt Noel Lwoga (Kulia) pamoja na Mwanamziki maarufu nchini Bw. Nguza Viking (Babu Seya) na Mkewe Mhe. Desderie Haule ambaye ni ( Katibu Tawala Wilaya ya Muheza Tanga) wakitoka kuangalia Mnara wa Mashujaa uliopo ndani ya Makumbusho ya Maji Maji mjini Songea.