emblem

The United Republic of Tanzania

The National Museum of Tanzania (NMT)

News

UBALOZI WA FINLAND WAVUTIWA NA KIJIJI CHA MAKUMBUSHO NCHINI.

Ubalozi wa Finland nchini Tanzania leo wamekitumia Kijiji cha Makumbusho katika kusherehekea siku yao ya Burudani ambayo huadhimishwa kila mwaka tarehe 25 Novemba

DKT AGNESS GIDNA AIWEKA TANZANIA KWENYE RAMANI YA DUNIA KATIKA FANI YA PALENTOLOJIA NA AKIOLOJIA

Mtandao wa kimataifa wa wanawake wanasayansi Duniani. (TROWELBLAZERS), wamemtambua Mhifadhi mwandamizi wa Paleontolojia, Makumbusho ya Taifa nchini Dkt Agness Gidna kuwa ndiye mwanamke wa kwanza msomi...

Bongozozo aikabidhi Makumbusho ya Taifa Sarafu ya Rupia iliyotengenezwa kwa Madini ya Tanzania

Balozi wa Utalii wa Tanzania, Bw Nick Reynolds maarufu kama Bongozozo ametoa wito kwa Watanzania kuwa na tabia ya kutoa vitu vyao vya thamani kwa Makumbusho ya Taifa kwa lengo ya kuhifadhi kwa ajili y...

ONESHO LA “MUSEUM ART EXPLOSION THAMANI YETU” LAFANA

Makumbusho ya Taifa kwa kushirikiana na kikundi cha Ngoma Afrika imefanya onesho maalum lililobeba ujumbe wa “THAMANI YETU” kwa lengo la kuwakumbusha Watanzania umuhimu wa thamani yetu kama Watanzani...

Uwanja wa Taifa kuwa kivutio cha Utalii

Makumbusho ya Taifa la Tanzania kwa kushirikiana na uongozi wa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wameanza mikakati ya kufanya Uwanja wa Taifa kuwa kivutio cha utalii kupitia maonesho ya kihistoria...

Balozi wa Marekani afanya mazungumzo na Waziri Kigwangala na kutembelea Makumbusho ya Taifa

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt Hamisi Kigwangala akifanya mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini, Mhe Donald J. Wright katika viwanja vya Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es Salaam.

Timu ya Simba kuitangaza Makumbusho ya Taifa

Viongozi wa timu ya Simba ya Dar es Salaam wametembelea makumbusho ya Taifa na kuahidi kuitanganza kupitia kazi zao ili watu wengi zaidi waweze kutembelea na kujifunza.

The Netherlands Ambassador to Tanzania Meet National Museum Director General

Director General of National Museum of Tanzania Dr Noel Lwoga met the Netherlands Ambassador to Tanzania. Hon Jeroen Verheul at the National Museum in Dar es Salaam.