MNADA - MAKUMBUSHO YA TAIFA
MNADA - MAKUMBUSHO YA TAIFA
02 Dec, 2024
Wananchi wote mnatangaziwa kuwa makumbusho ya Taifa itauza vifaa chakavu kwa njia ya mnada wa hadhara. Vifaa vitakavyouzwa vitajumuisha Vifaa vya Ofisi, Vifaa vya TEHAMA, Samani na vifaa mbalimbali. Muda ni kuanzia saa nne asunbuhi kwa taraehe zinazooneshwa kwenye jedwali ndani ya tangazo.
Gonga hapa kupata tangazo na kuona jedwali za tarehe ya kufanyika mnada