emblem

The United Republic of Tanzania

The National Museum of Tanzania (NMT)

News

World Environment Day 2020

Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Dkt. Noel Lwoga akipanda miti katika msitu wa Kijiji cha Makumbusho kama sehemu ya kuadhimisha siku ya Mazingira Duniani.

Miradi ya kulisaidia Taifa na kuendeleza Urithi wetu

Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Dkt Noel Lwoga amewataka wataalamu wa Tasisi hiyo kuongeza umakini na ubunifu katika kuandika miradi mbalimbali inayoendana na shughuli za msingi za makumbusho.

National Museum Celebrates Women's Day - 2020

wanawake wa Makumbusho ya Taifa la Tanzania waliungana na wanawake wengine duniani kusherehekea siku ya Wanawake Duniani katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam na Arusha mjini.