emblem

The United Republic of Tanzania

The National Museum of Tanzania (NMT)

BG IMAGE

Welcome to National Museum

Human Evolution

Human Evolution



Introduction section and the main entrance of the Human Evolution gallery at the National Museum of Tanzania.



Sehemu ya kwanza inayohusu ushahidi wa nyayo za zamadamu zilizongunduliwa huko Laetoli mwaka 1978 na mtafiti Dkt. Mary D. Leakey na masalia ya jamii ya A. afarensis wanyama wengine wa kipindi hicho.



Sehemu ya pili inaonyesha masalia ya zamadamu wanaoitwa Zinjanthropus au Paranthropus boisei na Homo habilis, masalia ya wanyama mbalimballi na zana za mawe za mwanzo katika bonde la Olduvai 2Ma.





Sehemu ya tatu inahusu maisha ya jamii ya Homo erectus.Jamaii ilikuwa inafanana zaidi na binadamu wa sasa kuliko jamii zilizotangulia. Kutakuwa na masalia zamadamu Homo erectus, zana za mawe (Acheulian) na ushahidi wa ulaji wa wanyama wakubwa.



Sehemu ya nne inaonesha kipindi cha mwanzo cha binadamu wa sasa (Homo sapiens) walioanza kutokea hapa Afrika miaka laki 2 iliyopita. Kuna masalia ya Homo sapiens na zana za mawe za muhula wa kati na muhula wa mwisho.