emblem

The United Republic of Tanzania

The National Museum of Tanzania (NMT)

BG IMAGE

Welcome to National Museum

Theatre

Theatre

Tunatoa huduma ya kukodisha ukumbi wa kisasa wa maonyesho ya jukwaani (Theatre) wenye uwezo wa kuingia watu 460, vyumba vinne vya kubadilishia nguo, Chumba cha wataalamu wa sauti na mwanga na viyoyozi, kwa ajili ya shughuli za mikutano na maonyesho ya Sanaa.Gharama za kukodi ni kama ifuatavyo: Tsh. 1,700,000 bila vipaza sauti. na Tsh. 1,950,000 pamoja na vipaza sauti.
Pichani ni Mama Michelle Obama, Mama Salma Kikwete na watoto wa aliekuwa Rais wa Marekani ambao ni Malia Obama na Sasha Obama wakiwa wanaangalie onyesho lililofanywa na kikundi cha BABAWATOTO katika ukumbi wa Maonyesho wa Makumbusho na Nyumba ya Utamaduni Dar es salaam.